Niagize Vitu Vyovyote Kutoka Dar es Salaam, China, USA na Dubai.
Tafuta bidhaa au mashine yoyote - tunakununulia kutoka sokoni Kariakoo au Nje ya Nchi na kukuletea mkoani kwako kwa usalama.
Kuwa Msambazaji
Sambaza link yako, pata commission kwa kila mauzo
China → Dar es Salaam
Mizigo inakaguliwa na kusafirishwa kila siku kwenda mikoa yote.
Ishi Kidijitali ni Nani?
Ishi Kidijitali tunakuletea bidhaa mbalimbali kutoka China, USA, Dubai na hapa Dar es Salaam - vitu vinavyokusaidia kuongeza ubunifu kwenye biashara yako, kuishi maisha ya kidijitali, kupendezesha nyumba yako, kuanzisha biashara bila mtaji mkubwa, au kukuza biashara uliyonayo tayari. Tunashughulikia utafutaji, ununuzi, na usafirishaji - wewe unabaki na kazi ya kuuza au kutumia bidhaa hiyo.
Ubunifu wa Biashara
Kupendezesha Nyumba
Anza Bila Mtaji Mkubwa
Kukuza Biashara Yako


LVR
built different
LVR is more than streetwear — it's a mindset. Every piece represents confidence, individuality, and the courage to build your own path.
LVR si mavazi ya kawaida tu — ni mtazamo wa maisha. Kila kipande kinawakilisha ujasiri, upekee, na ushupavu wa kujijengea njia yako mwenyewe.
KEEP MAKING. UNTIL WE WIN.
ENDELEA KUTENGENEZA. MPAKA TUSHINDE.
Order Now
Bidhaa Zilizopo Duka Kuu
Chagua bidhaa na uagize kwa urahisi
Inapakia bidhaa...
Lipa Namba ya Vodacom & Akaunti ya NBC
Tuma malipo au weka akiba kidogo kidogo kuanzia TZS 10,000. Lipa Namba yetu inakaribisha mitandao yote ya simu na benki.
📲 Lipa Namba (Vodacom):
58176639
Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, Halopesa & Benki
🏦 NBC Bank Account:
106174003449
Jina la Akaunti: Zacharia Luwanja
Tunafanya Kazi Vipi?
Tunakuletea bidhaa mbalimbali kutoka China, USA, Dubai na hapa Dar es Salaam. Ukishaagiza, sisi ndio tunashughulikia utafutaji, ununuzi, na usafirishaji mpaka mkoa unapoishi.
Bado una swali?
Service Center: 0754282086